-
Pata Hekima na Ukubali NidhamuMnara wa Mlinzi—1999 | Septemba 15
-
-
Halafu mfalme huyo mwenye hekima aongea na vijana: “Mwanangu, yasikilize mafundisho ya baba yako, wala usiiache sheria ya mama yako, kwa maana hayo yatakuwa kilemba cha neema kichwani pako, na mikufu shingoni mwako.”—Mithali 1:8, 9, italiki ni zetu.
-
-
Pata Hekima na Ukubali NidhamuMnara wa Mlinzi—1999 | Septemba 15
-
-
Kwa kweli, katika Biblia yote, familia ina fungu muhimu la kufundisha. (Waefeso 6:1-3) Watoto hutii wazazi wao walio waamini, ili kujipamba kitamathali kwa kilemba chenye kuvutia na kwa mkufu wa staha.
-