Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Je, Kuna “Dhambi Saba Nzito”?
    Maswali ya Biblia Yajibiwa
    • Je, Biblia haiorodheshi ‘vitu saba ambavyo ni chukizo kwa Mwenyezi-Mungu’?

      Ndiyo, inafanya hivyo. Kulingana na Biblia Habari Njema, Methali 6:16 inasema hivi: “Kuna vitu anavyochukia Mwenyezi-Mungu; naam, vitu saba ambavyo ni chukizo kwake.” Hata hivyo, dhambi zinazoorodheshwa baada ya hapo katika Methali 6:17-19 si orodha kamili. Badala yake inafafanua vitengo vya msingi vinavyowakilisha aina zote za makosa, kutia ndani, mawazo, maneno, na matendo.b

  • Je, Kuna “Dhambi Saba Nzito”?
    Maswali ya Biblia Yajibiwa
Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki