Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • “Uzishike Amri Zangu Ukaishi”
    Mnara wa Mlinzi—2000 | Novemba 15
    • Mfalme aanza na shauri hili lililo kama la baba: “Mwanangu, yashike maneno yangu, na kuziweka amri zangu akiba kwako. Uzishike amri zangu ukaishi, na sheria yangu kama mboni ya jicho lako.”—Mithali 7:1, 2.

  • “Uzishike Amri Zangu Ukaishi”
    Mnara wa Mlinzi—2000 | Novemba 15
    • Mafundisho ya mzazi yaweza kutia ndani pia kanuni nyinginezo—sheria za familia. Hizo ni za kuwafaidi washiriki wa familia. Ni kweli kwamba ikitegemea mahitaji, sheria zaweza kutofautiana kati ya familia mbalimbali. Hata hivyo, wazazi wana wajibu wa kuamua ni nini kinachofaa zaidi familia yao. Na kwa kawaida sheria wanazoweka hudhihirisha upendo na hangaiko lao la kweli. Vijana wanashauriwa kufuata kanuni hizo pamoja na mafundisho ya Maandiko wanayopokea kutoka kwa wazazi wao. Naam, kuna uhitaji wa kuona maagizo hayo “kama mboni ya jicho lako”—kuyalinda kadiri uwezavyo. Hiyo ndiyo njia ya kuepuka matokeo yenye kuleta kifo ya kupuuza viwango vya Yehova—na hivyo “kuishi.”

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki