-
Pata Hekima na Ukubali NidhamuMnara wa Mlinzi—1999 | Septemba 15
-
-
Kusudi la kitabu cha Mithali limefafanuliwa katika maneno yake ya ufunguzi: “Mithali za Sulemani [“Solomoni,” “NW”]; mwana wa Daudi, mfalme wa Israeli. Kujua hekima na adabu [“nidhamu,” “NW”]; kutambua maneno ya ufahamu [“uelewevu,” “NW”]; kufundishwa matendo ya busara, katika haki na hukumu na adili. Kuwapa wajinga werevu, na kijana maarifa na hadhari.”—Mithali 1:1-4, italiki ni zetu.
-
-
Pata Hekima na Ukubali NidhamuMnara wa Mlinzi—1999 | Septemba 15
-
-
Watu werevu ni wenye busara—hawadanganyiki vyepesi. (Mithali 14:15) Wanaweza kuuona uovu kimbele na kujitayarisha kukabiliana nao. Nayo hekima hutuwezesha kuwa na mawazo yafaayo ambayo hutoa mwelekezo wenye maana maishani. Kuchunguza mithali za Biblia kunathawabisha kikweli kwa sababu ziliandikwa ili tupate kujua hekima na nidhamu. Hata “wajinga” wanaozingatia mithali watakuwa werevu, naye “kijana” atakuwa na ujuzi na uwezo wa kufikiri.
-