-
Maneno ya Hekima kwa Moyo na AfyaAmkeni!—2011 | Agosti
-
-
“Moyo wenye shangwe ni dawa nzuri.”—METHALI 17:22.
-
-
Maneno ya Hekima kwa Moyo na AfyaAmkeni!—2011 | Agosti
-
-
Moyo wenye shangwe unaweza pia kuchangia afya nzuri. Dakt. Derek Cox, afisa wa afya huko Scotland alisema hivi katika ripoti moja ya Shirika la Habari la BBC: “Ikiwa wewe ni mwenye furaha huenda wakati ujao usipatwe na magonjwa kama yale yanayowapata watu wasio na furaha.” Ripoti hiyohiyo ilisema hivi: “Watu wenye furaha wanalindwa pia dhidi ya matatizo kama vile magonjwa ya moyo na kiharusi.”
-