-
“Mwogope Mungu wa Kweli na Kushika Amri Zake”Mnara wa Mlinzi—1987 | Septemba 15
-
-
Wakati kwa Kila Jambo
Soma sura 3 na 4. Sulemani hakuwa akitilia nguvu kuwa na maoni ya kutazamia misiba tu maishani (3:1-9). Bali, yeye alikuwa akionyesha kwamba wanadamu hawawezi kabisa kubadili jambo ambalo Mungu ameanza kulitendesha kazi (3:14). Katika habari hiyo, wanadamu si bora kuliko wanyama (3:19-21). Kwa hiyo mwelekeo wa ushirikiano (4:9-12) ni wenye kuthawabisha sana kuliko roho ya mashindano (4:4).
-
-
“Mwogope Mungu wa Kweli na Kushika Amri Zake”Mnara wa Mlinzi—1987 | Septemba 15
-
-
Hapana. Lakini Sulemani alionelea kwamba kazi ngumu na kufanya mambo kwa ujuzi mwingi ili mtu ajipatie faida tu kuliongoza mara nyingi kwenye mashindano na ubishani mkali (4:4). Halafu tena, jambo hilo linaweza kutokeza matatizo na hata kuingiza mtu kaburini mapema. (1 Timotheo 6:9, 10) Kwa hiyo, maoni yenye usawaziko ni nini? Uridhike na pato lenye upungufu pamoja na amani, badala ya kufanya pato liwe maradufu pamoja na kazi yenye magumu mengi na ugomvi.
-