Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • “Mwogope Mungu wa Kweli na Kushika Amri Zake”
    Mnara wa Mlinzi—1987 | Septemba 15
    • Soma sura 5 na 6. Kwa kuwa Yehova ni mwenye nguvu zote, ni lazima sisi tuchukue uhusiano wetu pamoja naye kwa uzito, si kutenda kwa upumbavu na kutazamia akubali “kafara” yetu (5:1, 2). Mtu anayeogopa Mungu anapokea uradhi kutokana na kutumia utajiri wake wa vitu vya kimwili, lakini mtu anayeuweka kwa ubahili hapati mfurahio wo wote.—Linganisha 5:18-20 pamoja na 6:2, 3.

  • “Mwogope Mungu wa Kweli na Kushika Amri Zake”
    Mnara wa Mlinzi—1987 | Septemba 15
    • Somo kwetu sisi: Katika mahali petu pa ibada, ni lazima tujiendeshe wenyewe kwa adhama na tunapaswa kuwa wasikivu (5:1). Ni lazima pia tuwe wenye haraka kutimiza wajibu wetu mbalimbali mbele za Yehova. Ikiwa tumefunga ndoa, hiyo inatia ndani kutimiza nadhiri yetu ya ndoa.—5:4.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki