Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • “Mwogope Mungu wa Kweli na Kushika Amri Zake”
    Mnara wa Mlinzi—1987 | Septemba 15
    • Soma sura 7 na 8. Mkusanya-kundi anafikiria tokeo linaloleta fikira nzito la kifo (7:1-4) na thamani ya hekima(7:11, 12, 16-19); anaonya pia dhidi ya mwanamke mbaya (7:26). Shauri linatolewa juu ya mambo kama vile kutenda kwa hekima kuelekea watawala (8:2-4) na kutowaka kwa hasira kwa sababu ya matendo yasiyo haki.​—8:11-14.

  • “Mwogope Mungu wa Kweli na Kushika Amri Zake”
    Mnara wa Mlinzi—1987 | Septemba 15
    • Somo kwetu sisi: Ingawa mali za kimwili zimekuwa mradi wa maisha wa wengi, ni hekima ya kutii Mungu tu inayoweza kuongoza kwenye uzima wa milele. (7:12; Luka 12:15) Kutamani sana zile ‘siku za kale nzuri’ hakutatufanyia mambo yawe mazuri zaidi. (7:10, NW). Bali, mambo ‘yatakuwa mazuri’ kwetu ikiwa tu tutaendelea kuogopa Mungu.—8:5, 12, NW.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki