Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Mambo Makuu Katika Kitabu cha Wimbo wa Sulemani
    Mnara wa Mlinzi—2006 | Novemba 15
    • 2:7; 3:5—Kwa nini wanawake wa makao ya mfalme wanaapishwa “kwa swala-jike au kwa paa wa porini”? Swala na paa wanajulikana kwa sababu ya maringo na urembo wao. Kwa hiyo, mwanamwali Mshulami anawaapisha wanawake wa makao ya mfalme kwa kila kitu chenye maringo na uzuri ili kuwazuia wasijaribu kuamsha upendo ndani yake.

  • Mambo Makuu Katika Kitabu cha Wimbo wa Sulemani
    Mnara wa Mlinzi—2006 | Novemba 15
    • 2:7; 3:5. Msichana huyo wa mashambani hakuvutiwa kamwe kimapenzi na Sulemani. Pia, aliwaapisha wanawake wa makao ya mfalme wasijaribu kuamsha ndani yake upendo kwa ajili ya mtu yeyote isipokuwa tu yule mvulana mchungaji. Haiwezekani wala haifai kuvutiwa kimapenzi na mtu yeyote tu. Mkristo mseja anayetaka kufunga ndoa anapaswa kumtafuta tu mtumishi mshikamanifu wa Yehova.—1 Wakorintho 7:39.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki