-
Mambo Makuu Katika Kitabu cha Wimbo wa SulemaniMnara wa Mlinzi—2006 | Novemba 15
-
-
1:2, 3—kwa nini kumbukumbu za maonyesho ya mapenzi ya mvulana mchungaji ni kama divai na jina lake kama mafuta? Kama vile divai inavyofanya moyo wa mtu ushangilie na kumiminwa kwa mafuta kichwani kunavyotuliza, ndivyo kumbukumbu za upendo wa mvulana huyo na jina lake lilivyomwimarisha na kumfariji mwanamwali huyo. (Zaburi 23:5; 104:15) Vivyo hivyo, Wakristo wa kweli, hasa watiwa-mafuta, huimarishwa na kutiwa moyo wanapotafakari kuhusu upendo wa Yesu Kristo kuwaelekea.
-
-
Mambo Makuu Katika Kitabu cha Wimbo wa SulemaniMnara wa Mlinzi—2006 | Novemba 15
-
-
1:2; 2:6. Huenda maonyesho safi ya upendo yakafaa wakati wa uchumba. Hata hivyo, mwanamume na mwanamke wanapaswa kuwa waangalifu ili maonyesho hayo yawe ya upendo wa kweli wala si tamaa chafu ya ngono, ambayo inaweza kuwatumbukiza katika uasherati.—Wagalatia 5:19.
-