Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Silaha, Mavazi ya Silaha
    Ufahamu wa Kina wa Maandiko
    • Ngao. Kipande kipana cha mavazi ya silaha ya kujilinda yaliyotumiwa na mataifa yote ya kale. Ilikuwa na mshikio kwa ndani na ilibebwa na shujaa wa vita wakati wa pigano, hasa kwenye mkono wa kushoto, ingawa wakati wa mazoezi huenda ilining’inizwa kwenye mkanda wa begani. Andiko la Isaya 22:6 linadokeza kwamba pengine baadhi ya ngao zilikuwa na mifuniko ambayo iliondolewa wakati wa pigano. Mara nyingi, wakati wa amani ngao ziliwekwa ghalani.​—Wim 4:4.

  • Silaha, Mavazi ya Silaha
    Ufahamu wa Kina wa Maandiko
    • Neno la Kiebrania sheʹlet, linalotafsiriwa kuwa ‘ngao za mviringo’ linaonekana mara saba katika Maandiko ya Kiebrania na ni wazi kwamba linafanana na neno linalijulikana zaidi ma·ghenʹ (ngao), kwa kuwa linatumiwa pamoja na ma·ghenʹ katika kitabu cha Wimbo wa Sulemani 4:4.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki