-
Atimiza Unabii wa IsayaYesu—Njia, Kweli, na Uzima
-
-
“Tazama! Mtumishi wangu niliyemchagua, mpendwa wangu, ambaye nimemkubali! Nitaweka roho yangu juu yake, naye atayatangazia mataifa haki. Hatagombana wala kupiga kelele, wala yeyote hatasikia sauti yake kwenye barabara kuu. Hataponda tete lililovunjika, wala hatazima utambi unaofifia, hadi atakapofanikiwa kuleta haki. Kwa kweli, mataifa yatalitumainia jina lake.”—Mathayo 12:18-21; Isaya 42:1-4.
-
-
Atimiza Unabii wa IsayaYesu—Njia, Kweli, na Uzima
-
-
Pia, Yesu anawatangazia ujumbe wake wenye kufariji watu ambao kwa njia ya mfano ni kama tete lililovunjika, lililoinama na kuangushwa. Wao ni kama utambi unaofifia, ambao mwanga wake wa mwisho uko karibu kwisha. Yesu hapondi tete lililovunjika wala kuzima utambi unaofifia na kutoa moshi. Badala yake kwa wororo na upendo anawainua wapole kwa ustadi. Kwa kweli, Yesu ndiye ambaye mataifa yanaweza kumtumainia!
-