Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Kutimiza Unabii wa Isaya
    Mnara wa Mlinzi—1986 | Agosti 15
    • “Tazama, mtumishi wangu niliyemteua; mpendwa wangu, moyo wangu uliyependezwa naye; nitatia roho yangu juu yake, naye atawatangazia Mataifa hukumu. Hatateta wala hatapaza sauti yake; wala mtu hatasikia sauti yake njiani. Mwanzi uliopondeka hatauvunja, wala utambi utokao moshi hatauzima, hata ailetapo hukumu ikashinda. Na jina lake Mataifa watalitumainia.”

  • Kutimiza Unabii wa Isaya
    Mnara wa Mlinzi—1986 | Agosti 15
    • Pia, Yesu anawapelekea ujumbe wenye faraja watu ambao kwa njia ya mfano ni kama mwanzi uliopondwa, uliokunjika na kugongwa katika sehemu ya chini. Wao ni kama utambi utokao moshi, ambao mwali wao wa mwisho karibu uzimwe. Yesu hauvunji mwanzi uliopondeka wala hauzimi utambi utokao moshi. Bali kwa wororo na upendo anawainua wapole kwa ustadi. Kwa kweli, Yesu ndiye ambaye mataifa wanaweza kutumainia! Mathayo 12:15-21; Marko 3:7-12; Isaya 42:1-4.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki