Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Ole kwa Shamba la Mizabibu Lisilo na Uaminifu!
    Unabii wa Isaya I—Nuru kwa Wanadamu Wote
    • 17. Ni mwenendo gani mwovu unaoshutumiwa katika ole wa kwanza wa Isaya?

      17 Katika mstari wa 8, Isaya haendelei kunukuu maneno ya Yehova. Huku akishutumu baadhi ya “zabibu-mwitu” zinazozaliwa katika Yuda, yeye binafsi atangaza ole wa kwanza kati ya ole sita: “Ole wao waongezao nyumba baada ya nyumba, na kuweka shamba karibu na shamba, hata hapana nafasi tena, nanyi hamna budi kukaa peke yenu kati ya nchi! BWANA wa majeshi asema katika masikio yangu, Hakika majumba mengi yatakuwa ukiwa, naam, majumba makubwa, mazuri, yatakuwa hayana watu. Kwa maana shamba la mizabibu la eka kumi litatoa bathi moja tu, na homeri ya mbegu itatoa efa tu.”—Isaya 5:8-10.

  • Ole kwa Shamba la Mizabibu Lisilo na Uaminifu!
    Unabii wa Isaya I—Nuru kwa Wanadamu Wote
    • 19 Yehova aahidi kuwanyang’anya watu hao wenye pupa mali waliyoipata kwa ufisadi. Nyumba wanazonyakua ‘hazitakuwa na watu.’ Mashamba wanayotamani yatazaa tu sehemu ndogo sana ya uwezo wake. Wakati na namna barabara ya kutimizwa kwa laana hiyo haukutaarifiwa. Yamkini yarejezea, angalau kwa sehemu, zile hali zinazosababishwa na uhamisho wa baadaye huko Babiloni.—Isaya 27:10.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki