Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Je, Mungu Anatujali?
    Imani ya Kweli—Siri ya Kuwa na Maisha Yenye Furaha
    • Mama akiwa amembeba mtoto wake

      Mungu anatupenda sana hata kuliko jinsi mama anavyompenda mtoto wake

      Tunaweza kuwa na hakika kwamba Mungu anatujali kikweli. Anasema hivi katika Neno lake Takatifu: “Je, mke anaweza kumsahau mtoto wake anayenyonya hivi kwamba asimhurumie mwana wa tumbo lake? Hata hawa wanawake wanaweza kusahau, lakini mimi mwenyewe sitakusahau wewe.”a

      Je, haifariji kujua hivyo? Mungu anatupenda sana hata kuliko jinsi mama anavyompenda mtoto wake—mojawapo ya hisia zenye nguvu sana za mwanadamu. Mungu hatatuacha kamwe! Tayari ametusaidia kwa njia ya kustaajabisha. Jinsi gani? Kwa kutuonyesha siri ya kuwa na maisha yenye furaha—imani ya kweli.

  • Je, Mungu Anatujali?
    Imani ya Kweli—Siri ya Kuwa na Maisha Yenye Furaha
    • a Ona Isaya 49:15 katika Maandiko Matakatifu.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki