-
Ni Nani Ambao Ndio Waeneza-Evanjeli wa KweliMnara wa Mlinzi—1988 | Januari 1
-
-
Ni Nini Uenezaji-Evanjeli wa Kweli?
Katika zile lugha za awali za Biblia, Kiebrania na Kigiriki, mweneza-evanjeli ni mtangazaji wa habari za kupendeza, au habari njema.a Habari njema za nini? Za wokovu, za utawala wenye uadilifu, na za amani. Mathalani, Isaya 52:7 inasema: “Jinsi ilivyo mizuri juu ya milima miguu yake aletaye habari njema, yeye aitangazaye amani, aletaye habari njema ya mambo mema, yeye autangazaye wokovu, auambiaye Sayuni, Mungu wako anamiliki!”
-
-
Ni Nani Ambao Ndio Waeneza-Evanjeli wa KweliMnara wa Mlinzi—1988 | Januari 1
-
-
a Kitenzi cha Kigiriki kinachosema “Leta habari njema,” au “eneza evanjeli,” (eu·ag·ge·liʹzo·mai) kilikuja kusimamia neno la Kiebrania linalofasiriwa ‘leta habari njema’ (bis·sarʹ) katika Isaya 52:7. Kile kitenzi bis·sarʹ hapa kinamaanisha “kupeleka ujumbe wa kushinda ulimwengu ambako enzi kuu ya ulimwengu wote mzima ya Yahweh imepata na wa utawala wake wa kifalme” na pambazuko la kipindi kipya, inasema The New International Dictionary of New Testament Theology.—Linganisha Nahumu 1:15, New World Translation of the Holy Scriptures with References, maelezo ya chini.
-