Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Yehova Ahuisha Roho ya Wanyenyekevu
    Unabii wa Isaya II—Nuru kwa Wanadamu Wote
    • 6 Kila mahali—chini ya miti mikubwa, katika mabonde ya mito, juu ya vilima, katika majiji yao—Yuda anaabudu sanamu. Lakini Yehova anaona yote, na anamtumia Isaya kufichua upotovu wa nchi hiyo: “Umeweka kitanda chako juu ya mlima mrefu ulioinuka sana; ukaenda huko ili kutoa dhabihu. Na nyuma ya milango na miimo umeweka kumbukumbu lako.” (Isaya 57:7-8a) Yuda anatandika kitanda chake chenye uchafu wa kiroho katika sehemu za juu, kisha anaitolea miungu ya kigeni dhabihu juu ya kitanda hicho.a Hata nyumba za watu binafsi zina sanamu nyuma ya milango na kwenye miimo ya milango.

  • Yehova Ahuisha Roho ya Wanyenyekevu
    Unabii wa Isaya II—Nuru kwa Wanadamu Wote
    • a Inaelekea kwamba neno “kitanda” linamaanisha madhabahu ama mahali pa ibada ya kipagani. Mahali hapo panaitwa kitanda ili neno hilo liwe kikumbusha cha kwamba ibada hiyo ni ukahaba wa kiroho.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki