-
“Watalazimika Kujua Kwamba Mimi Ni Yehova”Mnara wa Mlinzi—1988 | Septemba 15
-
-
17. (a) Ni njozi gani ambayo Ezekieli alipewa katika 593 K.W.K.? (h) Kuwako kwa lile hekalu la kinjozi ni uthibitisho wa nini?
17 Katika 593 K.W.K. ule mwaka wa 14 baada ya uharibifu wa hekalu katika Yerusalemu, Ezekieli alipewa njozi ya patakatifu papya kwa ajili ya ibada ya Yehova. Kwa kupimwa na yule malaika mwenye kumpa mwongozo mnabii huyo, palikuwa na vipimo vikubwa sana. (Ezekieli 40:1–48:35) Hekalu hilo lilifananisha “lile hema la kweli, ambalo Yehova alisimamisha,” na lilikuwa na vile “viwakilishi vya ufananishi vya vitu vilivyo katika mbingu.” Yesu Kristo aliingia Patakatifu Zaidi Sana pa hekalu hilo, “mbinguni kwenyewe,” katika 33 W.K. ili ampe Mungu ustahili wa dhabihu yake ya ukombozi. (Waebrania 8:2; 9:23, 24, NW) Lile hekalu la kinjozi linathibitisha kwamba ibada ya kweli itaokoka shambulio la Gogu. Hiyo ni faraja kama nini kwa wapendaji wa jina la Yehova!
-
-
“Watalazimika Kujua Kwamba Mimi Ni Yehova”Mnara wa Mlinzi—1988 | Septemba 15
-
-
[Ramani/Picha katika ukurasa wa 25]
(Ona mpangilio kamili katika nakala iliyochapishwa)
Yale matoleo matakatifu na migawo ya kikabila
BAHARI KUU
KUINGIA HAMATHI
DANI
ASHERI
NAPHTALI
MANASE
EPHRAIMU
REUBENI
YUDA
MKUU
Mchango Takatifu
En-Eglaimu
BENJAMINI
SIMEONI
Engedi
ISSAKARI
ZEBULUNI
TamarI
GADI
Meribath-Kadeshi
Bahari ya Chumvi
Mto Yordani
Bahari ya Galilaya
-