Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Maneno Manne Yaliyoubadili Ulimwengu
    Sikiliza Unabii wa Danieli!
    • 12. Kushindwa kwa watu wenye hekima kulithibitisha nini?

      12 Kwa hiyo, ikathibitika kuwa watu wenye hekima walikuwa walaghai, na dini yao iliyostahiwa sana kuwa udanganyifu. Walivunja moyo kama nini! Belshaza alipoona kwamba aliwatumaini watu hao wa dini bure tu, akaogofywa hata zaidi, uso wake ukambadilika hata zaidi, na hata wakuu wake “wakaona fadhaa.”e—Danieli 5:9.

  • Maneno Manne Yaliyoubadili Ulimwengu
    Sikiliza Unabii wa Danieli!
    • e Watungaji wa kamusi wataarifu kwamba neno lililotumiwa hapa “-ona fadhaa” lamaanisha msukosuko mkubwa, kana kwamba watu waliokuwa wamekusanyika walivurugika.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki