Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Ni Nani Ataongoza Mataifa Kwenye Amani?
    Je! Ulimwengu Usio na Vita Utakuwako Wakati Wowote?
    • Danieli 9:24 (JP): “Majuma sabini yameamriwa juu ya watu wako.”

      Ni nini kusudi la kipindi hicho cha wakati kilichotajwa?

      “Kufanyiza mwisho wa dhambi, na kusamehe makosa, na kuleta ndani uadilifu wa milele na kutia muhuri njozi na nabii.” Kutokana na maneno hayo pekee, mtu angetarajia huu uwe mmojawapo unabii wa maana zaidi katika Maandiko.

  • Ni Nani Ataongoza Mataifa Kwenye Amani?
    Je! Ulimwengu Usio na Vita Utakuwako Wakati Wowote?
    • “Atasababisha dhabihu na zawadi za matoleo kukoma” (Danieli 9:27, NW): Yesu alisema juu ya kifo chake kuwa ni dhabihu. (Mathayo 20:28) Kilileta machoni pa Mungu mwisho wa dhabihu zilizotolewa chini ya agano la Sheria. (Waebrania 8:1-13) Kifo cha Yesu cha dhabihu kiliandaa msingi wa yale yote yaliyotajwa katika Danieli 9:24.

      Kingeleta msamaha wa dhambi.

      Kilithibitisha ahadi na unabii mwingi wa Mungu kuwa kweli.

      Kiliandaa msingi halali kulingana na viwango vya Mungu kwa uadilifu wa milele katika wakati ujao.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki