Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Ni Nani Ataongoza Mataifa Kwenye Amani?
    Je! Ulimwengu Usio na Vita Utakuwako Wakati Wowote?
    • Danieli 9:26 (JP): “Baada ya majuma sitini na mawili mpakwa-mafuta [“Mesiya,” Kiebrania Ma·shiʹach] atakatiliwa mbali, asiwepo tena.” Angalia kwamba kukatiliwa mbali, au kifo cha Mesiya, kingetukia kabla ya uharibifu wa hekalu la pili katika 70 W.K., kama vile mstari huo uendeleavyo kusema: “Na watu wa mkuu ambao watakuja wataharibu lile jiji na patakatifu.”

  • Ni Nani Ataongoza Mataifa Kwenye Amani?
    Je! Ulimwengu Usio na Vita Utakuwako Wakati Wowote?
    • “Na baada ya yale majuma sitini na mawili Mesiya atakatiliwa mbali” (Danieli 9:26, NW): Katika mwaka 33 W.K., Yesu auawa, baada ya kuhubiri kwa miaka mitatu na nusu. Hiyo yalingana na jambo ambalo Danieli 9:27 hutaarifu.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki