Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Maswali Kutoka kwa Wasomaji
    Mnara wa Mlinzi—2012 | Juni 15
    • ▪ Ile sanamu kubwa yenye madini mbalimbali ambayo Mfalme Nebukadneza aliona haifananishi serikali zote kuu za ulimwengu. (Dan. 2:31-45) Inaonyesha wafalme watano tu ambao walitawala kuanzia wakati wa Danieli na kuendelea, na ambao waliwatesa sana watu wa Mungu.

  • Maswali Kutoka kwa Wasomaji
    Mnara wa Mlinzi—2012 | Juni 15
    • a Udongo uliochanganywa na chuma unafananisha vitu fulani ndani ya Serikali Kuu ya Ulimwengu ya Uingereza na Marekani inayofananishwa na chuma. Baada ya muda kupita, udongo huo umefanya iwe vigumu kwa serikali hiyo kuwa na nguvu ambazo ingependa kuwa nazo.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki