-
Kumsikiliza Yehova Kadiri Ule Mwisho UkaribiavyoMnara wa Mlinzi—1987 | Mei 15
-
-
15. Yoeli anaelezaje kupondwa-pondwa kwa mfumo huu, lakini kukiwa na matokeo gani kwa watumishi wa Mungu?
15 Yoeli 3:13 hadi 16 pia hurejeza kwenye kuokolewa kwa watumishi wa Mungu wakati mfumo huu unapopondwa-pondwa kama zabibu katika shinikizo la divai. Husema hivi: “Haya! utieni mundu, maana mavuno yameiva;... mapipa nayo yanafurika; kwani uovu wao ni mwingi sana. Makutano makubwa, makutano makubwa, wamo katika bonde la kukata maneno! kwa maana siku ya [Yehova] i karibu, katika bonde la kukata maneno. Jua na mwezi vimetiwa giza, na nyota zimeacha kuangaza. Naye [Yehova] atanguruma toka Sayuni [wa kimbingu], . . . na mbingu na [dunia] zitatetemeka; lakini [Yehova] atakuwa kimbilio la watu wake.”
-
-
Kumsikiliza Yehova Kadiri Ule Mwisho UkaribiavyoMnara wa Mlinzi—1987 | Mei 15
-
-
[Picha katika ukurasa wa 18]
Mfumo huu unapopondwa-pondwa kama zabibu katika shinikizo la divai, “[Yehova] atakuwa kimbilio la watu wake”
-