Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Maonyo ya Kimungu Yanayokuathiri Wewe
    Mnara wa Mlinzi—1989 | Aprili 15
    • Hakuna mmoja anayeepuka hukumu ya Yehova. Unabii wa Obadia, uliotamkwa karibu 607 K.W.K., ulitabiri kuondoshwa kwa Waedomi katika bara lao wajapoonekana kuwa katika hali salama wakiwa juu “kati ya nyota.” Na ingawa maisha ya kibinafsi ya mwandikaji huyu wa Biblia hayafunuliwi, yeye anaishi kulingana na maana ya jina lake, “Mtumishi wa Yehova.” Jinsi gani? Kwa kutangaza hukumu ya kuhuzunisha sana. Edomu aangukapo, atatekwa nyara kabisa na marafiki walio katika agano pamoja naye. Hata wenye hekima na wenye uweza ndani yake hawataokoka.​Mistari ya —1-9.

  • Maonyo ya Kimungu Yanayokuathiri Wewe
    Mnara wa Mlinzi—1989 | Aprili 15
    • ○ Obadia Mstari 7​—Katika nyakati za Biblia, ‘kula mkate’ (chakula, NW) pamoja na mtu kulikaribia kabisa kuwa kama kufanya agano la urafiki. Ni jambo la kinyume kama nini! Wababuloni, ‘watu wa mapatano’ (“watu katika agano,” NW) pamoja na Waedomi, ndio wangethibitika kuwa waharabu wao. Ni kweli, Wababuloni wa siku ya Nebukadreza waliruhusu Edomu ishiriki vitu vilivyoporwa Yuda baada ya Yerusalemu kuachwa ukiwa. Lakini Nabonido mfalme Mbabuloni wa baadaye alizuilia kabisa kabisa makuu ya Edomu ya kujitakia ubiashara na bidhaa.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki