Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Wenye Shangwe Katika Mungu wa Wokovu Wetu
    Mnara wa Mlinzi—2000 | Februari 1
    • 14-16. Kulingana na Habakuki 3:14, 15, ni nini kitakachowapata watu wa Yehova na vilevile adui zao?

      14 Kwenye Har–Magedoni, wale wanaojaribu kumwangamiza “masihi” wa Yehova watavurugwa. Kulingana na Habakuki 3:14, 15, nabii huyo asema na Mungu, akimwambia: “Ukakichoma kichwa cha mashujaa wake kwa fimbo zao wenyewe; wakaja kama kisulisuli ili kunitawanya; kama wakifurahi kuwameza maskini kwa siri. Ukaikanyaga bahari kwa farasi zako, chungu ya maji yenye nguvu.”

  • Wenye Shangwe Katika Mungu wa Wokovu Wetu
    Mnara wa Mlinzi—2000 | Februari 1
    • 16 Na kuna mengi zaidi yatakayotokea. Yehova atatumia majeshi ya roho yenye nguvu zinazozidi zile za kibinadamu ili kukamilisha uharibifu huo. Akitumia “farasi” za majeshi yake ya kimbingu wakiwa chini ya Yesu Kristo, atasonga mbele akishinda kupitia “bahari” na “chungu ya maji yenye nguvu,” yaani, tungamo lenye kusukasuka la wanadamu adui. (Ufunuo 19:11-21) Kisha waovu wataondolewa duniani. Ni wonyesho wenye nguvu kama nini wa uweza na haki ya kimungu!

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki