Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Bwana wa Kweli Aja kwa Ajili ya Hukumu
    Mnara wa Mlinzi—1989 | Julai 1
    • Yehova anatazamia watu wake wamtolee kitu chao kilicho bora zaidi. Mungu anaonyesha kwanza upendo wake kwa watu wake. Hata hivyo, makuhani wanadharau jina lake kwa kukubali kutoka kwa watu wanyama vipofu, wagonjwa, na vilema kwa ajili ya dhabihu. Yehova hana upendezo katika makuhani wenye kujitumikia wenyewe wala katika matoleo hayo ya hali ya chini yanayotoka mikononi mwao. Lakini hata wafanye nini, ‘jina la Yehova litakuwa la kuvuvia hofu miongoni mwa mataifa.’​—1:1-14, NW.

  • Bwana wa Kweli Aja kwa Ajili ya Hukumu
    Mnara wa Mlinzi—1989 | Julai 1
    • ○ 1:13​—Makuhani hao wasio na imani walikuwa wamekuja kuziona dhabihu kuwa sherehe yenye kuchosha, mzigo wa kulemea. Walibeza, au wakadharau sana, vitu vitakatifu vya Yehova. Haitupasi kamwe kuruhusu “ndama wachanga wa midomo yetu” watolewe kama desturi tu!​—Hosea 14:2, NW; Waebrania 13:15.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki