-
Wenye Kiburi na Wenye UdhaliliMnara wa Mlinzi—1987 | Januari 15
-
-
Mwisho, Yesu anatoa mwaliko huu unaovuta watu: “Njoni kwangu, ninyi nyote mnaomenyeka na kulemewa na mizigo, nami nitawaburudisha ninyi. Bebeni nira yangu na kujifunza kwangu, kwa maana mimi ni mwenye tabia pole na hali ya kujishusha katika moyo, na ninyi mtapata burudisho la nafsi zenu. Kwa maana nira yangu ni ya fadhili na mzigo wangu ni mwepesi.”
-
-
Wenye Kiburi na Wenye UdhaliliMnara wa Mlinzi—1987 | Januari 15
-
-
Nira yenye fadhili ambayo Yesu anawatolea ni moja ya wakfu kamili kwa Mungu, kuweza kutumikia Baba yetu wa kimbingu mwenye huruma na rehema. Na mzigo mwepesi ambao Yesu anawatolea wale wanaomjia yeye ni ule wa kutii matakwa ya Mungu ya kupatia uzima, amri Zake, ambazo si zenye kulemea hata kidogo. Mathayo 11:16-30; Luka 1:15; 7:31-35; 1 Yohana 5:3, NW.
-