Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Atimiza Unabii wa Isaya
    Yesu—Njia, Kweli, na Uzima
    • “Tazama! Mtumishi wangu niliyemchagua, mpendwa wangu, ambaye nimemkubali! Nitaweka roho yangu juu yake, naye atayatangazia mataifa haki. Hatagombana wala kupiga kelele, wala yeyote hatasikia sauti yake kwenye barabara kuu. Hataponda tete lililovunjika, wala hatazima utambi unaofifia, hadi atakapofanikiwa kuleta haki. Kwa kweli, mataifa yatalitumainia jina lake.”​—Mathayo 12:18-21; Isaya 42:1-4.

  • Atimiza Unabii wa Isaya
    Yesu—Njia, Kweli, na Uzima
    • Inamaanisha nini kwamba “hatagombana wala kupiga kelele, wala yeyote hatasikia sauti yake kwenye barabara kuu”? Yesu anapowaponya watu, hawaruhusu watu hao—au roho waovu—‘wamtangaze.’ (Marko 3:12) Hataki watu wajifunze kumhusu kupitia matangazo ya barabarani yenye kelele au kupitia habari zisizo sahihi ambazo zinapitishwa kwa msisimko kutoka kwa mtu mmoja hadi mwingine.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki