Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Kutimiza Unabii wa Isaya
    Mnara wa Mlinzi—1986 | Agosti 15
    • “Tazama, mtumishi wangu niliyemteua; mpendwa wangu, moyo wangu uliyependezwa naye; nitatia roho yangu juu yake, naye atawatangazia Mataifa hukumu. Hatateta wala hatapaza sauti yake; wala mtu hatasikia sauti yake njiani. Mwanzi uliopondeka hatauvunja, wala utambi utokao moshi hatauzima, hata ailetapo hukumu ikashinda. Na jina lake Mataifa watalitumainia.”

  • Kutimiza Unabii wa Isaya
    Mnara wa Mlinzi—1986 | Agosti 15
    • Maana yake nini kwamba ‘hatateta wala hatapaza sauti yake’ katika njia pana? Ni kwamba, wakati anapoponya watu, Yesu ‘amewakataza sana wasimdhirishe.’ Yeye hataki kujitangaza kwa makelele mengi katika barabara wala hataki habari za msisimuko zipitizwe kutoka kinywa kimoja mpaka kinywa kingine na kupotoshwa.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki