-
“Waadilifu Watang’aa kwa Uangavu Kama Jua”Mnara wa Mlinzi—2010 | Machi 15
-
-
3. Mtu anayetajwa katika mfano huo anakabili tatizo gani na anaamua kulishughulikia jinsi gani?
3 Huu ndio mfano wa ngano na magugu: “Ufalme wa mbinguni umekuwa kama mtu aliyepanda mbegu nzuri katika shamba lake. Watu wakiwa wamelala usingizi, adui yake alikuja na kupanda magugu katikati ya ngano, naye akaondoka. Wakati jani lilipoota na kuzaa matunda, magugu yalionekana pia. Kwa hiyo watumwa wa mwenye nyumba wakaja na kumwambia, ‘Bwana, je, hukupanda mbegu nzuri katika shamba lako? Imekuwaje basi lina magugu?’ Akawaambia, ‘Adui, mtu fulani, alifanya hivyo.’ Wakamwambia, ‘Basi, je, unataka twende kuyakusanya?’ Akasema, ‘Hapana; ili, mnapoyakusanya magugu, msije mkang’oa ngano pamoja nayo. Acheni zikue pamoja mpaka wakati wa mavuno; na katika majira ya mavuno nitawaambia wavunaji, Kwanza kusanyeni magugu na kuyafunga matita-matita ili kuyateketeza motoni, ndipo nendeni mkusanye ngano ghalani mwangu.’”—Mt. 13:24-30.