Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Jangwa la Yuda Halizai Lakini Linasisimua
    Mnara wa Mlinzi—1989 | Novemba 1
    • WEWE wawazia jangwa la Yuda katika Bara Lililoahidiwa kuwa namna gani? Watu fulani hufikiria msitu mkubwa sana uliojazana miti. Wengine huwazia jangwa kama Sahara lililo na mitandao mirefu ya mchanga.

      Hakuna lolote la mawazio hayo hulingana na jangwa hili, kama vile wewe waweza kuona kutokana na fotografu iliyo juu. Katika mandhari hii, wewe unatazama sehemu ya jangwa hilo ambayo yahusianishwa na Yesu. Pokeo husema kwamba Shetani alionyesha Yesu “milki zote za ulimwengu” akiwa kwenye kileleta hiki, ambacho kipo katika ukingo wa jangwa na chakabiliana na jiji la Yeriko lenye mapambo ya mitende katika Bonde la Yordani upande wa mashariki.—Mathayo 3:1; 4:1-11.

  • Jangwa la Yuda Halizai Lakini Linasisimua
    Mnara wa Mlinzi—1989 | Novemba 1
    • [Hisani Line katika ukurasa wa 16]

      Pictorial Archive (Near Eastern History) Est

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki