Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Yesu Amjibu Mtawala Kijana Aliye Tajiri
    Yesu—Njia, Kweli, na Uzima
    • Yesu anaongezea hivi: “Lakini wengi walio wa kwanza watakuwa wa mwisho na wa mwisho watakuwa wa kwanza.” (Mathayo 19:30) Anamaanisha nini?

      Yule mtawala kijana aliye tajiri ni kati ya watu wa “kwanza,” akiwa mmoja wa viongozi wa Wayahudi. Kwa kuwa anashika amri za Mungu, ana uwezo mkubwa na anatarajiwa kutimiza mengi. Lakini anatanguliza utajiri na mali kuliko kitu kingine maishani. Kinyume chake, watu wa kawaida wa nchi hiyo wanayaona mafundisho ya Yesu kuwa ya kweli na njia ya uzima. Kwa maneno mengine walikuwa wa “mwisho,” lakini sasa wanakuwa wa “kwanza.” Wanaweza kutazamia kuketi kwenye viti vya ufalme mbinguni pamoja na Yesu na kutawala juu ya dunia Paradiso.

  • Mfano wa Wafanyakazi Katika Shamba la Mizabibu
    Yesu—Njia, Kweli, na Uzima
    • Yesu ametoka tu kuwaambia wasikilizaji wake huko Perea kwamba “wengi walio wa kwanza watakuwa wa mwisho na wa mwisho watakuwa wa kwanza.” (Mathayo 19:30) Anakazia maneno hayo kwa kutoa mfano unaohusu wafanyakazi katika shamba la mizabibu:

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki