Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Wafanya Kazi Katika Shamba la Mizabibu
    Mnara wa Mlinzi—1989 | Agosti 15
    • “WENGI walio wa kwanza,” Yesu akawa ndiyo sasa tu amemaliza kusema, “watakuwa wa mwisho.” Sasa yeye atolea jambo hili kielezi kwa kusimulia hadithi. Aanza kwa kusema, “Ufalme wa mbinguni umefanana na mtu mwenye nyumba, aliyetoka alfajiri kwenda kuajiri wakulima awapeleke katika shamba lake la mizabibu.”

  • Wafanya Kazi Katika Shamba la Mizabibu
    Mnara wa Mlinzi—1989 | Agosti 15
    • Mwenye nyumba, au mwenye shamba la mizabibu, ni Yehova Mungu, nalo shamba la mizabibu ni taifa la Israeli. Wafanya kazi katika shamba la mizabibu ni watu walioingizwa katika agano la Sheria; wao hasa ni wale Wayahudi wenye kuishi siku za mitume. Patano la kutoa mshahara hufanywa pamoja na wafanya kazi wa mchana mzima tu. Mshahara ule ni dinari moja kwa kazi ya mchana ule. Kwa kuwa “saa tatu” ni saa 3:00 ya asubuhi, wale walioitwa wakati wa saa 3, saa 6, saa 9, na saa 11 hufanya kazi kwa muda wa saa 9, 6, 3, na 1 tu.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki