Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Mfano wa Wafanyakazi Katika Shamba la Mizabibu
    Yesu—Njia, Kweli, na Uzima
    • “Ufalme wa mbinguni ni kama bwana mwenye nyumba aliyetoka asubuhi na mapema kwenda kuajiri wafanyakazi kwa ajili ya shamba lake la mizabibu. Baada ya kukubaliana na wafanyakazi hao awalipe dinari moja kwa siku, akawatuma katika shamba lake la mizabibu. Akatoka pia karibu saa tatu, akaona wengine wamesimama sokoni bila kazi; akawaambia, ‘Ninyi pia, nendeni katika shamba la mizabibu, nami nitawalipa haki yenu.’ Basi wakaenda. Tena akatoka karibu saa sita na saa tisa na kufanya vivyo hivyo. Mwishowe, akatoka karibu saa kumi na moja, akakuta wengine wakiwa wamesimama tu, naye akawauliza, ‘Mbona mmesimama hapa mchana kutwa bila kazi?’ Wakamjibu, ‘Kwa sababu hakuna mtu aliyetuajiri.’ Akawaambia, ‘Ninyi pia nendeni katika shamba la mizabibu.’”—Mathayo 20:1-7.

    • Viongozi wa kidini, kama vile Mafarisayo ambao hivi karibuni walimjaribu Yesu kuhusu suala la talaka, wanafikiri kwamba wanaendelea kufanya kazi katika utumishi wa Mungu. Ni kama wafanyakazi wa wakati wote wanaotarajia kupata malipo kamili, mshahara ukiwa ni dinari moja kwa kazi ya siku moja.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki