-
Mfano wa Wafanyakazi Katika Shamba la MizabibuYesu—Njia, Kweli, na Uzima
-
-
“Ufalme wa mbinguni ni kama bwana mwenye nyumba aliyetoka asubuhi na mapema kwenda kuajiri wafanyakazi kwa ajili ya shamba lake la mizabibu. Baada ya kukubaliana na wafanyakazi hao awalipe dinari moja kwa siku, akawatuma katika shamba lake la mizabibu. Akatoka pia karibu saa tatu, akaona wengine wamesimama sokoni bila kazi; akawaambia, ‘Ninyi pia, nendeni katika shamba la mizabibu, nami nitawalipa haki yenu.’ Basi wakaenda. Tena akatoka karibu saa sita na saa tisa na kufanya vivyo hivyo. Mwishowe, akatoka karibu saa kumi na moja, akakuta wengine wakiwa wamesimama tu, naye akawauliza, ‘Mbona mmesimama hapa mchana kutwa bila kazi?’ Wakamjibu, ‘Kwa sababu hakuna mtu aliyetuajiri.’ Akawaambia, ‘Ninyi pia nendeni katika shamba la mizabibu.’”—Mathayo 20:1-7.

Makuhani na wengine katika kundi hilo huwaona Wayahudi wa kawaida kana kwamba wanamtumikia Mungu kwa kadiri ndogo, kama wafanyakazi wa muda katika shamba la mizabibu la Mungu. Katika mfano wa Yesu, hao ndio watu wanaoajiriwa “karibu saa tatu” (3:00 asubuhi) au baadaye mchana—saa sita, saa tisa, na baadaye saa kumi na moja (11:00 jioni).
-