Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Mfano wa Wafanyakazi Katika Shamba la Mizabibu
    Yesu—Njia, Kweli, na Uzima
    • “Ufalme wa mbinguni ni kama bwana mwenye nyumba aliyetoka asubuhi na mapema kwenda kuajiri wafanyakazi kwa ajili ya shamba lake la mizabibu. Baada ya kukubaliana na wafanyakazi hao awalipe dinari moja kwa siku, akawatuma katika shamba lake la mizabibu. Akatoka pia karibu saa tatu, akaona wengine wamesimama sokoni bila kazi; akawaambia, ‘Ninyi pia, nendeni katika shamba la mizabibu, nami nitawalipa haki yenu.’ Basi wakaenda. Tena akatoka karibu saa sita na saa tisa na kufanya vivyo hivyo. Mwishowe, akatoka karibu saa kumi na moja, akakuta wengine wakiwa wamesimama tu, naye akawauliza, ‘Mbona mmesimama hapa mchana kutwa bila kazi?’ Wakamjibu, ‘Kwa sababu hakuna mtu aliyetuajiri.’ Akawaambia, ‘Ninyi pia nendeni katika shamba la mizabibu.’”—Mathayo 20:1-7.

    • Makuhani na wengine katika kundi hilo huwaona Wayahudi wa kawaida kana kwamba wanamtumikia Mungu kwa kadiri ndogo, kama wafanyakazi wa muda katika shamba la mizabibu la Mungu. Katika mfano wa Yesu, hao ndio watu wanaoajiriwa “karibu saa tatu” (3:00 asubuhi) au baadaye mchana—saa sita, saa tisa, na baadaye saa kumi na moja (11:00 jioni).

      Wanaume na wanawake wanaomfuata Yesu wanaonwa kuwa “watu waliolaaniwa.” (Yohana 7:49) Walitumia muda mwingi wa maisha yao wakiwa wavuvi au wakifanya kazi nyingine. Kisha katika majira ya kuchipua ya mwaka wa 29 W.K., “mwenye shamba la mizabibu” akamtuma Yesu kuwaita watu hao wapole wafanye kazi ya Mungu wakiwa wanafunzi wa Kristo. Hao ndio watu wa “mwisho” ambao Yesu anataja, wafanyakazi wa shamba la mizabibu waliokuja saa kumi na moja.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki