Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Je, Wajua?
    Mnara wa Mlinzi—2011 | Oktoba 1
    • ▪ Muda mfupi kabla ya kifo chake, Yesu alishughulikia ukosefu mkubwa wa haki uliokuwa ukiendelea ndani ya hekalu. Biblia inasema hivi: ‘Yesu aliwafukuza wale wote waliokuwa wakiuza na kununua katika hekalu, na kuzipindua meza za wale waliokuwa wakibadili pesa na viti vya wale waliokuwa wakiuza njiwa. Naye akawaambia: “Imeandikwa, ‘Nyumba yangu itaitwa nyumba ya sala,’ lakini ninyi mnaifanya kuwa pango la wanyang’anyi.”’—Mathayo 21:12, 13.

  • Je, Wajua?
    Mnara wa Mlinzi—2011 | Oktoba 1
    • Kwa kuwa Yesu alisema watu waliokuwa wakibadili pesa walifanya hekalu kuwa “pango la wanyang’anyi,” inaonekana walitoza malipo ya juu kupita kiasi.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki