Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Mifano Miwili Kuhusu Mashamba ya Mizabibu
    Yesu—Njia, Kweli, na Uzima
    • Hata hivyo, “wakulima” waliwatendea vibaya na kuwaua “watumwa” waliotumwa kwao. Yesu anaeleza hivi: “[Mwenye shamba la mizabibu] alikuwa na mmoja zaidi, mwana wake mpendwa. Mwishowe akamtuma kwao akisema: ‘Watamheshimu mwanangu.’ Lakini wakulima wakaambiana, ‘Huyu ndiye mrithi. Njooni tumuue, na urithi utakuwa wetu.’ Kwa hiyo wakamkamata, wakamuua.”—Marko 12:6-8.

  • Mifano Miwili Kuhusu Mashamba ya Mizabibu
    Yesu—Njia, Kweli, na Uzima
    • Waandishi na wakuu wa makuhani wanatambua kwamba “mfano aliosema uliwahusu.” (Luka 20:19) Kuliko wakati mwingine wowote, wanataka kumuua yule aliye na haki ya kuwa “mrithi.” Lakini wanauogopa umati, ambao unamwona Yesu kuwa nabii, basi hawajaribu kumuua wakati huo.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki