-
Kafichuliwa na Vielezi vya Shamba la MizabibuMnara wa Mlinzi—1990 | Januari 1
-
-
Kwa kuwa “walimaji” wawatenda vibaya na kuwaua “watumwa,” Yesu aeleza hivi: “Mwisho [mwenye shamba la mizabibu] aliwapelekea mwana wake, akisema, ‘Wao watastahi mwana wangu.’ Kwa kumwona mwana walimaji wakasema miongoni mwao wenyewe, ‘Huyu ndiye mrithi; njoni, acheni tumuue tupate urithi wake!’ Kwa hiyo wao wakamtwaa na kumtupa nje ya shamba la mizabibu na kumuua.”
-
-
Kafichuliwa na Vielezi vya Shamba la MizabibuMnara wa Mlinzi—1990 | Januari 1
-
-
Sasa waandishi na wakuu wa makuhani watambua kwamba Yesu ananena kuwahusu, nao wataka kumuua, yule “mrithi” halali. Kwa hiyo pendeleo la kuwa watawala katika Ufalme wa Mungu litachukuliwa kutoka kwao wakiwa taifa, na taifa jipya la ‘walimaji wa shamba la mizabibu’ litafanyizwa, moja ambalo litatokeza matunda yafaayo.
-