Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Je, Tunaishi Katika Siku za Mwisho?
    Amkeni!—1995 | Aprili 22
    • “Taifa litaondoka kupigana na taifa, na ufalme kupigana na ufalme.”—Mathayo 24:7.

      “Karne ya ishirini—ingawa kwa ujumla ni ya ujamii ulioboreshwa na ufikirio uliokaziwa wa kiserikali kwa maisha ya maskini—imemilikiwa na bunduki-mimina, kifaru, ndege za kivita za B-52, bomu ya kinyukilia na, mwishowe kombora la masafa marefu. Imetiwa alama na vita vyenye umwagaji damu na vyenye uharibifu zaidi ya vile vya muhula wowote ule.”—Milestones of History.

      “Matetemeko ya nchi mahali mahali.”—Mathayo 24:7.

      Katika karne hii, matetemeko yafikayo 7.5 hadi 8.3 kwenye kipimio cha Ritcher yamepata kuonekana katika Chile, China, India, Iran, Italia, Japani, Peru, na Uturuki.

  • Je, Tunaishi Katika Siku za Mwisho?
    Amkeni!—1995 | Aprili 22
    • “Upungufu wa chakula.”—Mathayo 24:7, NW.

      “Njaa Yatisha Huku Vikundi vya Msaada Vikizozana,” chatangaza kichwa kikuu katika gazeti New Scientist. Kulingana na aliyekuwa rais fulani wa Marekani, njaa yatisha kuangamiza sayari katika kipindi cha miongo miwili. “Licha ya matabiri hayo yenye kutisha,” makala hiyo yaeleza, “kiwango cha msaada ambacho nchi tajiri hupatia nchi zinazositawi kwa ajili ya usitawishaji wa kilimo kinapungua kwa kutazamisha.”

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki