-
Kufanya Hesabu Juu ya Matumizi ya Hazina za KristoUsalama Ulimwenguni Pote Chini ya “Mwana-Mfalme wa Amani”
-
-
3. Wale watumwa waliopokea talanta kutoka kwa bwana-mkubwa kabla ya kuondoka walizitumiaje wakati wa kutokuwapo kwake?
3 “Basi kesheni [endeleeni kulinda, NW], kwa sababu hamwijui siku wala saa. Maana ni mfano wa mtu atakaye kusafiri, aliwaita watumwa wake, akaweka kwao mali zake. Akampa mmoja talantaa tano, na mmoja talanta mbili, na mmoja talanta moja; kila mtu kwa kadiri ya uwezo wake; akasafiri. Mara yule aliyepokea talanta tano akaenda, akafanya biashara nazo, akachuma faida talanta nyingine tano. Vilevile na yule mwenye mbili, yeye naye akachuma nyingine mbili faida. Lakini yule aliyepokea moja alikwenda akafukua chini, akaificha fedha ya bwana wake.
-
-
Kufanya Hesabu Juu ya Matumizi ya Hazina za KristoUsalama Ulimwenguni Pote Chini ya “Mwana-Mfalme wa Amani”
-
-
a Talanta ya fedha ya Kigiriki ina uzani wa kilogramu 20.4.
-