Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Mahubiri Maarufu ya Mlimani
    Yesu—Njia, Kweli, na Uzima
    • Anasema: “Wenye furaha ni wale wanaotambua uhitaji wao wa kiroho, kwa kuwa Ufalme wa mbinguni ni wao. Wenye furaha ni wale wanaoomboleza, kwa kuwa watafarijiwa. . . . Wenye furaha ni wale walio na njaa na kiu ya uadilifu, kwa kuwa watashibishwa. . . . Wenye furaha ni wale ambao wameteswa kwa ajili ya uadilifu, kwa kuwa Ufalme wa mbinguni ni wao. Wenye furaha ni ninyi, watu wanapowashutumu na kuwatesa . . . kwa sababu yangu. Furahini na kushangilia sana.”​—Mathayo 5:3-12.

  • Mahubiri Maarufu ya Mlimani
    Yesu—Njia, Kweli, na Uzima
    • Yesu anasema kwamba watu wanaotambua uhitaji wao wa kiroho, wanaohuzunishwa na hali yao ya kutenda dhambi, na wanaomjua na kumtumikia Mungu ndio wenye furaha ya kweli. Hata wakichukiwa au kuteswa kwa sababu ya kufanya mapenzi ya Mungu, wana furaha kwa sababu wanajua kwamba wanampendeza Mungu na kwamba atawathawabisha kwa kuwapa uzima wa milele.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki