Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Utendaji Uliopanuliwa Wakati wa Kuwapo kwa Kristo
    Mnara wa Mlinzi—1993 | Mei 1
    • 15 Ona maelezo yake kwenye Mathayo 25:31-33: “Hapo atakapokuja Mwana wa Adamu katika utukufu wake, na malaika watakatifu wote pamoja naye, ndipo atakapoketi katika kiti cha utukufu wake; na mataifa yote watakusanyika mbele zake; naye atawabagua [atawatenganisha watu, HNWW] kama vile mchungaji abaguavyo kondoo na mbuzi; atawaweka kondoo mkono wake wa kuume, na mbuzi mkono wake wa kushoto.”

  • Utendaji Uliopanuliwa Wakati wa Kuwapo kwa Kristo
    Mnara wa Mlinzi—1993 | Mei 1
    • 17. Kwa nini hali leo ni yenye uzito kwa watu wote?

      17 Katika mfano huo, Mfalme-Mchungaji anawaweka watu wenye mfano wa kondoo upande wake wa kulia na wenye mfano wa mbuzi upande wa kushoto. Upande wa kulia wageuka kuwa hukumu yenye kupendeleka—uhai wa milele. Upande wa kushoto ni hukumu isiyopendeleka—ile ya uharibifu wa milele. Uamuzi wa Mfalme wa jambo hilo una matokeo mazito.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki