Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Uguo Kali Katika Bustani
    Mnara wa Mlinzi—1990 | Oktoba 1
    • Akiacha wanane wa mitume—labda karibu na mwingilio wa bustani—yeye awaagiza hivi: “Ketini hapa, hata niende kule nikaombe.” Halafu awachukua wale wengine watatu—Petro, Yakobo, na Yohana—na kusonga mbali zaidi katika bustani. Yesu aingiwa na kihoro na kufadhaika sana. “Roho [nafsi, NW] yangu ina huzuni nyingi kiasi cha kufa,” awaambia. “Kaeni hapa, mkeshe pamoja nami.”

  • Uguo Kali Katika Bustani
    Mnara wa Mlinzi—1990 | Oktoba 1
    • Sivyo hata kidogo! Yesu hasihi kwamba aepushwe na kifo. Hata ile fikira ya kuepuka kifo cha dhabihu, iliyodokezwa na Petro wakati mmoja, yamchukiza sana. Bali, yeye ana uguo kali kwa sababu ahofu kwamba njia ambayo karibuni atakufa kwayo—akiwa mhalifu mwenye kudharaulika—italeta suto juu ya jina la Baba yake. Sasa yeye ahisi kwamba katika muda wa saa chache atatundikwa juu ya mti kama mtu wa aina mbaya kabisa—mkufuru dhidi ya Mungu! Hilo ndilo lamfadhaisha sana.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki