Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Ponografia
    Amkeni!—2013 | Machi
    • “Kila mtu ambaye anaendelea kumtazama mwanamke na kumtamani tayari amefanya uzinzi pamoja naye moyoni mwake.” —Mathayo 5:28.

  • Ponografia
    Amkeni!—2013 | Machi
    • Kwa mfano, Biblia inaonya waziwazi kwamba mwanamume aliyeoa ‘anapoendelea kumtazama mwanamke’ ambaye si mke wake na kukuza tamaa ya kufanya ngono naye, jambo hilo linaweza kuongoza kwenye uzinzi. Kanuni iliyo kwenye maneno hayo ya Biblia inaweza kumhusu mtu yeyote, iwe ameoa au ni mseja, ambaye ‘anaendelea kutazama’ picha za ponografia akiwa na tamaa ya kujihusisha katika matendo machafu kingono. Ni wazi kwamba tabia hiyo humchukiza Mungu.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki