Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Tunapaswa Kusali kwa Mungu Jinsi Gani?
    Amkeni!—2012 | Februari
    • Yesu alisema: “Basi, ninyi msali hivi: ‘Baba yetu uliye mbinguni, jina lako na litakaswe. Ufalme wako na uje. Mapenzi yako na yatendeke duniani kama ilivyo mbinguni. Utupe leo mkate wetu kwa ajili ya siku hii; na utusamehe madeni yetu, kama vile ambavyo sisi pia tumewasamehe wadeni wetu. Na usituingize katika jaribu, bali utukomboe kutokana na yule mwovu.’”​—Mathayo 6:9-13.

  • Tunapaswa Kusali kwa Mungu Jinsi Gani?
    Amkeni!—2012 | Februari
    • “Usituingize katika jaribu, bali utukomboe kutokana na yule mwovu.” “Yule mwovu” ni Shetani Ibilisi, ambaye pia huitwa “Mjaribu.” (Mathayo 4:3) Kwa kuwa mwili wetu wenye dhambi ni dhaifu, tunahitaji msaada wa Mungu ili kumpinga Shetani na wawakilishi wake wa kibinadamu.​—Marko 14:38.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki