Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Kitabu cha Hekima Chenye Ujumbe Unaofaa Leo
    Mnara wa Mlinzi—1999 | Aprili 1
    • Kuona mabadiliko ambayo mume wake alikuwa amefanya, Mihoko pia alianza kutumia yale aliyokuwa akijifunza. Kanuni moja iliyothibitika kuwa hasa yenye kumsaidia ilikuwa: “Komeni kuhukumu ili msipate kuhukumiwa; kwa maana kwa hukumu mnayohukumu, mtahukumiwa.”e Kwa hiyo, Mihoko na mume wake waliamua kwamba wangezungumzia sifa zao njema na jinsi ambavyo wangeweza kufanya maendeleo badala ya kulalamikiana. Matokeo yalikuwa nini? Mihoko akumbuka: “Jambo hilo limenifurahisha kwelikweli. Tumekuwa tukifanya hivyo wakati wa chakula kila jioni. Hata mwana wetu mwenye umri wa miaka mitatu hujiunga na mazungumzo hayo. Hilo limekuwa jambo lenye kutuburudisha kwelikweli!”

  • Kitabu cha Hekima Chenye Ujumbe Unaofaa Leo
    Mnara wa Mlinzi—1999 | Aprili 1
    • e Mathayo 7:1, 2.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki