Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • “Msiache Mioyo Yenu Ninyi Ifadhaike”
    Mnara wa Mlinzi—1988 | Februari 15
    • 14. Sisi tunaweza kujua jinsi gani kama Yehova anapaswa kusihiwa kwa moyo mara moja tu?

      14 Inastahili kuangaliwa kwamba kwa kawaida ombi hilo la kumsihi Yehova kwa moyo halifanywi mara moja tu. Yesu alifundisha hivi katika Mahubiri ya Mlimani yake yanayojulikana sana: “Endeleeni kuomba, nanyi mtapewa; endeleeni kutafuta, nanyi mtapata; endeleeni kubisha, nanyi mtafunguliwa.” (Mathayo 7:7, NW) Fasiri nyingi za Biblia zinafasiri maneno hayo hivi: “Ombeni . . . tafuteni . . . bisheni.” Lakini kile Kigiriki cha asili kinatoa fikira ya kitendo chenye kuendelea.a

  • “Msiache Mioyo Yenu Ninyi Ifadhaike”
    Mnara wa Mlinzi—1988 | Februari 15
    • a Kwa mwafaka pamoja na New World Translation of the Holy Scriptures katika utoaji wa maana iliyo sawasawa, Charles B. Williams anatafsiri hivi mstari huo: “Endeleeni kuomba . . . endeleeni kutafuta . . . endeleeni kubisha, na ninyi mtafunguliwa ule mlango.”—The New Testament: A Translation in the Language of the People.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki