-
Aulizwa Maulizo Juu ya KufungaMnara wa Mlinzi—1986 | Juni 1
-
-
Sasa baadhi ya wanafunzi hao wa Yohana aliyetiwa gerezani wanamjia Yesu na kuuliza: “Kwa nini sisi na Mafarisayo twafunga, bali wanafunzi wako hawafungi? ” Mafarisayo wanazoea kufunga mara mbili kwa juma, hiyo ikiwa desturi ya dini yao. Na labda wanafunzi wa Yohana wanafuata kawaida inayofanana na hiyo. Huenda pia ikawa kwamba wanafunga ili kuomboleza kufungwa kwa Yohana na wanashangaa ni kwa nini wanafunzi wa Yesu hawajiungi nao katika wonyesho huo wa huzuni.
-
-
Aulizwa Maulizo Juu ya KufungaMnara wa Mlinzi—1986 | Juni 1
-
-
[Picha ya ukurasa nzima katika ukurasa wa 8]
-