-
Panga Mapema—Tumia Hekima InayotumikaYesu—Njia, Kweli, na Uzima
-
-
Mtu wa kwanza anasema: “Vipimo 100 vya mafuta ya zeituni.” Yaani, karibu lita 2,200 za mafuta. Huenda mtu huyo aliyekopa alikuwa na shamba kubwa la mizeituni au alikuwa mfanyabiashara aliyeuza mafuta. Yule msimamizi anamwambia: “Chukua hati yako ya mapatano, uketi na upesi uandike 50 [lita 1,100].’—Luka 16:6.
-
-
Panga Mapema—Tumia Hekima InayotumikaYesu—Njia, Kweli, na Uzima
-
-
Bado msimamizi huyo anasimamia hesabu za bwana wake, basi kwa njia fulani ana mamlaka ya kupunguza madeni ambayo bwana wake anawadai watu. Kwa kupunguza madeni wanayodaiwa, msimamizi huyo anajifanyia marafiki na watu wanaoweza kumwonyesha fadhili baada ya kufutwa kazi.
-